Thursday, July 9, 2015

Kuelekea  uchaguzi mkuu vyama vishiriki vimekuwa vikifunikwa na kuacha mchakato wa urais kama wa vyama vichache.Nyota ya chama cha mapinduzi imekuwa iking'aa zaidi.Wakati Chadema ikififia toka kuhama kwa Zitto Kabwe na kumurika chama kipya cha ACT Wazalendo.Hofu ni mpasuko wa CCM endapo vibopa watakatwa na kuhama chama.

0 comments:

Post a Comment