Mh Bernard Membe akicheka na mtangaza nia mwenzake Mwigulu Nchemba kuonesha umoja na kuwa na historia ndefu kwenye siasa.Wanachi hutegemea kuvushwa kwenye dimbwi la matatizo na washikadola ukweli kwmba wote ni wasimuliaji story ile ele kwa mazingira tofauti.Wote hukili hawawezi kumaliza matatizo yote ya watanzania ila watatufikisha sehemu swali je miaka inavyoenda rasilimali zinapungua yupi atamaliza matatizo yote?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment