Saturday, July 11, 2015

Kikao cha mchakato wa mgombea  kutoka wa umoja wa katiba ya wananchi Ukawa bado kinaendelea.Wajumbe wametoka kupata futari na watarejea leo mpaka kieleweke vyama vyote nchini.Picha chini mwanasiasa machachari Tundu Lissu akiwa kwenye foleni.


0 comments:

Post a Comment