Ukawa wakiwa kwenye kikao leo jioni cha kuazimia mchakato wa kumchagua mgombea urais hapo kesho.Mchungaji Msigwa amekili kesho jioni Ukawa watatoa jina la mgombea wao dunia na Tanzania itapata kufahamu.Ukakasi wa kupata mgombea zilitawala siku chache wakitegea CCM.
0 comments:
Post a Comment