Vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi vimekuwa vikisuasua kuteuwa mgombea wao wa urais ili kujionesha kujiamini kwao,Badala yake wanangoja kujua moto wa CCM waupatie dawa ya kuuzima.Wabunge na viongozi wa umoja huo wamejipanga kuchagua jina la mgombea siku ya jumamosi hii.Siasa za mgombea zimazima CCM zinaweza kuwa dalili si nzuri sana kwenye ushindani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment