Posted by Williammalecela.com on Saturday, July 18, 2015
Hussen Bashe akichukuwa fomu ya ubunge jimbo la Nzega mjini,Huyu ni mmoja kati ya watu waliokuwa kwenye jopo la timu Lowasa kutochukuwa fomu kwa chama tofauti ni ushahidi wa timu hiyo bado wapo CCM,
0 comments:
Post a Comment