Friday, July 3, 2015





Huyu dada bana yaani haishiwi vituko kila kukicha, hivi nikimfananisha na msanii Lulu nitakuwa nakosea? Naona kama wanaendana swaga hivi kwani naye haishiwi vituko kila kukicha.

0 comments:

Post a Comment