Saturday, July 11, 2015


Mfahamu Bernard Kamilius Membe, mmoja wa wagombea watano.
Ni mbunge wa jimbo la Mtama (2000 - 2015), na waziri wa mambo ya nje Tanzania (2007-2015). Mhe. Membe amesomea Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu Cha Dar-es-salaam na Mahusiano ya Kimataifa katika chuo cha Johns Hopkins, na amepitia mafunzo ya kijeshi (nationa service) kwa mwaka mmoja katika kambi la kijeshi la Oljoro (Arusha

0 comments:

Post a Comment