Wednesday, July 1, 2015

Kalama Masoud A.K.A Kala Pina na Steven Nyerere pamoja na Adonovember kesho asubuhi kwenye kipindi cha star tv tuongee asubuhi watavaana uso kwa uso kunadi mikakati yao juu ya wananchi wa jimbo hilo kuwapa ridhaa ya ubunge.Kala Pina anatokea chama cha CUF na Steven Nyerere ni CCM chama tawala.

0 comments:

Post a Comment