Wednesday, July 15, 2015

Sakata la kukatwa kwa jina lake waziri Lazaro Nyarambu kwa nafasi ya ugombea urais kwa tiketi ya CCM mapema bila hata kufika nafasi za juu,Limemalizika leo baada ya kukubali matokeo na kufata maamuzi mbadala wa kuchukua fomu ya ubunge jimboni kwake na kutetea kiti hicho cha ubunge.





0 comments:

Post a Comment