Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, (kushoto) akipokea fomu za kuwania
ubunge viti maalum mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu wa UWT wilaya ya
Ikungi, Yagi Kiaratu.
Miss
Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi
wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida leo
(17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
0 comments:
Post a Comment