Wednesday, July 8, 2015

Kisa cha Diamond na Ommy Dimpoz kununiana cha zidi kupamba moto baada ya Diamond kuona picha hizi.Wema Sepetu amekuwa karibu na Ommy kupitiliza wametoana dinner na kufuturu pamoja.Huku wakiacha roho ya Diamond juu juu,Urafiki wa wasanii hao unazidi kuingia mdudu hadi kwenye kutosaidiana kazi za kisanaa.


0 comments:

Post a Comment