Rapper Young Dee akiwa katika hatua ya ukuaji na umri mbaya wa ukuaji ameamua kuuchora chora tatoo mwili wake.Sasa amejichora tatoo ya sita mwilini sehemu ya mguu yenye jina lucky one.Balehe inampeleka puta na kujikuta starehe yake pekee ni kujichafua mwili.
0 comments:
Post a Comment