Baba mzazi wa mwanamuziki huyo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ‘Baba D’.
MSHTUKO!
Baada ya hivi karibuni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’ kupata mtoto wa kike, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ kupitia
kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, baba mzazi wa
mwanamuziki huyo, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amekataliwa kumuona mjukuu wake
huyo, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili.
Kwa mujibu wa baba
Diamond, baada ya Tiffah kuzaliwa Agosti 6, mwaka huu, mama mzazi wa
nyota huyo, Sanura Kassim a.k.a Sandra alimpigia simu mzazi mwenzake
huyo na kumjuza kwamba wamepata mjukuu, jambo ambalo walilifurahia kwa
pamoja.
0 comments:
Post a Comment