Wednesday, August 5, 2015


Le Mutuz Nation I am super humbled kuingia mkataba mpya wa kuitangaza Kampuni ya Mbet ya Spain baada ya kuingia nao mkataba wa Miaka 5 na kazi yao imeanza rasmi leo na wiki hii pia ninategemea kupata mikataba ya matangazo ya Makampuni 2 makubwa moja ya TV na nyingine ya mtandao, nawashukuru sana my fans I mean you the viewers kwa kupitia this blog kila siku. As now ninajitayarisha kuingia kwenye area mpya ya Radio na TV ninamshukuru Mungu kwa kunipa akili ya kuanzisha this blog Mwaka 2012 ambayo sasa ni Kampuni inayotoa ajira kwa Vijana kama 5 na ni system working on itself hata bila mimi mwenyewe kuwepo. Kwa mfano the last I was here ilikuwa two weeks ago but the system works. Najua kuwa sisi binadam tuna mapungufu kama mlivyo wasomaji, but I am determined to make sure this Blog stay strong, tumetoa ajira na sasa tuna ofisi yetu here at at TANCOT HOUSE 2ND FLOOR downtown Posta Mpya, soon nategemea kuanza kufungua vituo vya this Blog Mikoa yote ya Tanzania. Sio lazima kuajiriwa sometimes tunahitaji kutumia akili kidogo tu kwamba Online business ndio the way to siku hizi leo this blog inapitiwa na Viewers 75,000 per day imagine gazeti linalouza kwa wingi hapa mjini linauza copy 35,000 tu! now kama una tangazo la biashara unataka kulipeleka wapi? Kwenye Social Media where you get smart Consumers au Magazetini ambayo hayafiki Tanzania nzima kulinganisha na sisi Blog tunaopatikana Tanzania nzima kwa njia hata ya simu za kisasa smart phone? Kama ni Marketer think about that!! Again nawashukuru sana people this thing the Blog is here to stay na it works cause it is working now na again thank you my super viewers love U all!! - Le Mutuz Nation 




1 comment:

  1. real its amazing me tht why am looking forward just to meet people like you and get some ideas and knowledge, stay blessed brother


    Carlyson Kessy

    ReplyDelete