Friday, August 28, 2015

Bondia Floyd Mayweather ambaye yuko mbioni kustaafa baada tu ya pambano lake la mwisho na Andre Berto litakalofanyika kwenye ukumbi wa MGM Grand Mjini Las Vegas mnamo September 12 ametuonyesha magari yake matano ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 10.7 kwa pamoja akiwa Vegas.
Hii ni sehemu ya kuegesha magari kwenye gym ya ngumi anayomiliki Floyd Mayweather. Yakwanza ni Ferrari 458 italia  thamani yake ni dola 300,000. Bugatti Veyron thamani yake ni dola milioni 1.5 na mengine hayo kwenye picha.
Floyd-Magaritmt1tmt2

0 comments:

Post a Comment