Monday, August 31, 2015

Hoteli ya Flomi iliyopo Msavu/Morogoro yenye Gorofa 7 ilipovunjwa rasmi na Serikali leo baada ya kugundulika kwamba imejengwa kiholela kinyume na Sheria kwanza Kiwanja ni cha Serikali na pili Bomba la Mafuta la TAZAMA linapita chini hapo hapo ni makosa makubwa yaliyosbaabishwa na Rushwa kwenye manisapaa ya Morogoro na cha kutisha zaidi Blogu ya Wananchi imegundua kwamba hoteli hii inamilikiwa na Kamishna mmoja wa TRA wa Wilaya hapa mjini Dar.

0 comments:

Post a Comment