Tuesday, August 25, 2015

Mgombea wa Urais wa CCM Dr. Magufuli tayari ameanza na kitim tim cha ajabu kuanzia Jangwani juzi mpaka Katavi jana na matokeo ni Wagombea 6 wa Ubunge UKAWA kumkimbia na kuwapa wagombea Ubunge wa CCM ushindi wa bure kwenye majimbo hayo Sita na yafuatayo:- 1. LUDEWA 2. MLALO 3. BUMBULI 4. NANYAMBA 5. SENGEREMA 6. PERAMIHO - Tayari majimbo hayo yameshatangazwa rasmi kuwa ni ya CCM hata kabla kipenga hakijalia Magufuli ni noma!!
Lowasa & UKAWA 0!

0 comments:

Post a Comment