Thursday, August 6, 2015

Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na mbunge wa Kyela,Bwn.John Mwakipesile amejiondoa CCM na kujiunga na Chadema, ......habari zaidi zinakuja.

0 comments:

Post a Comment