Soma hapa:-Imegundulika kuwa mbali na kusubiri kutungwa kwa ilani ya Ukawa pia viongozi wa Ukawa wametambua afya ya Mgombea wao kiti cha Urais hataweza kufanya kampeni kwa usafiri wa gari hivyo wamependekeza kuchelewesha uzinduzi wa kampeni hizo ili watumie Helkopta na kupata sababu kwa wananchi kuwa wanakimbizana na muda.
Ushauri huo ulitolewa na mmoja wa washauri wa karibu wa mgombea huyo na mwenye ushawishi wa kambi hiyo kwa kuwa amekwisha fanya kazi serikalini kwa muda mrefu. Hata hivyo imeelezwa kuwa matembezi aliyofanya mgombea huyo jijini Dsm kwa kutembelea maeneo mbalimbali yalikuwa ni moja ya mapendekezo ya kamati hiyo ya washauri wake kwa lengo la kumpima endapo wanaweza kumsafirisha kwa gari ktk baadhi ya Mikoa ambapo tathimini waloyoifanya tarehe 25/08/2015 jioni wamesema ni vema kutumia tu Helkopta badala la Kujaribu kuonja sumu.

0 comments:
Post a Comment