Posted by Williammalecela.com on Thursday, August 13, 2015
 |
Msanii maarufu wa Filamu nchini Irene Uwoya, amepitishwa na Halamshauri Kuu ya CCM Taifa NEC kushika nafasi ya Sita kwenye Wagombea Ubunge 6 wa Viti Maalum UVCCM katika kikao chake kilichofanyika Dodoma
na matokeo kutolewa jana Usiku. Uwoya alishinda kuiwakilisha Tabora kwa kura nyingi sana akiwaacha wapinzani wake mbali sana. Uwoya anakuwa ni Msanii pekee kushinda Ubunge uchaguzi huu kwenye Viti Maalum uchaguzi uliwaleta Wasanii wengi kutoka tasnia ya Usanii akiwemo Steve Nyerere na Wema Sepetu. |
0 comments:
Post a Comment