Staa wa Bongo fleva nchini anayetamba kwa sasa na wimbo wa ‘Nana’ huku
akiitambulisha Tanzania Kimataifa zaidi katika tasnia muziki, Nasibu
Abdul ‘Diamond Platnumz’ wikiendi hii staa huyo wa ‘Nana’ ameshinda
vipengele viwili kwenye tuzo za Nollywood and African People’ Choice
Awards (NAFCA) za nchini Nigeria.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment