Posted by Williammalecela.com on Thursday, August 06, 2015
Prof. Ibrahim LIPUMBA ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha CUF.
Ametangaza kuachia ngazi uenyekiti wa chama hicho mapema leo, alipokuwa
akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Peacok.
0 comments:
Post a Comment