Saturday, August 22, 2015

Jeshi la Polisi limevipiga marufuku vikundi vyote vya ulinzi vinavyomilikiwa na vyama vya siasa nchini.
Paul Chagonja Amesema, amepiga marufuku vikundi vyote vya ulinzi vya vyama vya siasa na Atoa onyo kali kwa atakayekaidi.

1 comment:

  1. Hekima hivi vikundi vinaweza kuvuruga amani,hasa pande itakayoshindwa chaguzi,vijana wanafundishwa mbinu za upambanaji wataleta shida

    ReplyDelete