Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja.
Mgeja
ametangaza uamuzi huo wakati akiongea na wanahabari jijini Dar es
Salaam ambapo ametumia kauli ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius
Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 alipozungumzia haja ya chama hicho
kujisahihisha kwamba "Watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipoyapata
ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM.”
0 comments:
Post a Comment