Posted by Williammalecela.com on Sunday, August 09, 2015
Habari
nilizopta muda huu na zimethibitishwa. nikwamba mwenyekiti wa ccm mkoa
wa arusha Mh Onesmo Nangole na katibu mwenezi wa CCM mkoa
wa arusha
wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na
maendeleo CHADEMA.
BOFYA KUONA VIDEO VIGOGO HAO WA CCM WALIVYOTANGAZA KUHAMA
0 comments:
Post a Comment