Thursday, August 13, 2015

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, amejitoa CCM na kujiunga Ukawa (Chadema).
Ametangaza msimamo huo muda huu hapa MAELEZO, Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari. 

CHANZO JAMII FORAM 

0 comments:

Post a Comment