Kutoka Jimbo la Mtama,
Seleman Mathew Lwongo,Aliyekuwa Mshindani Nape ndani ya CCM amejiunga na CHADEMA.
Nape Nnauye alitumia pesa na ilifika sehemu akahojiwa na maafisa wa TAKUKURU kwa zaidi ya masaa 5 kwa tuhuma hizo hizo.
Wabunge wawili wa CCM watangaza kuhamia CHADEMA Jioni hii katika Mkutano uliofanyika viwanja vya Rwanda-Nzovwe jionya leo Jijini Mbeya.
Wabunge hao ni Modestus Kilufi aliyekuwa Mbunge wa Mbarali na Mch. Luckson Mwanjali aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Vijijini.

0 comments:
Post a Comment