
Kutoka
CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba ana kikao na
wazeeLeo mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba ameita waandishi wa
habari makao makuu ya chama hicho, Buguruni Dar es Salaam. Tuwe pamoja
kujulishana kitachojiri makuu ya chama, Buguruni baada ya muda si mrefu.
Sakaya:
Majadiliano yamechukua muda mrefu kuliko tulivyodhani, tunaomba radhi
kwa kuchelewa na tunaahirisha press conference ya leo.
Kuna
majadiliano kati ya wazee na mwenyekiti wa chama na yakikamilika na
ikaonekana bado kuna haja ya kuwaita waandishi, mtaitwa.
Oh! Baba chonde chonde usiondoke CUF wala UKAWA please we love you and need you so so much our Papa, for our New Tanzania.
ReplyDelete