Mgombea wa Nafasi ya Ubunge kupitia CCM Anthon Mavunde akiwahutubia wakazi wa manipaa ya Dodoma waliokusanyika katika viwanja vya Barafu wakati alipokuwa akizindua rasmi kampeni zake
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM January Mkamba akimtambulisha kwa wananchi wa manispaa ya Dodoma kwa kumshika mkono Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Kupitia Chama Hicho Anthon Mavunde wakati wa uzinduzi wa kampeni zake Rasmi
Wanamziki wa Kizazi Kipya wa Kundi la Wasaka Tonge la mjini Dodoma wakitoa Burudani wakati wa uzinduzi.
0 comments:
Post a Comment