Mgombea Ubunge wa Muleba Kasikazini Charles Mwijage(CCM)akicheza ngoma wakati wa uzinduzi wa kampeini zilizofanyika Kamachumu
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kamachumu naye alionyesha umahili wa kucheza ngoma za asili
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera Costansia Buhiye akimnadi mgombea Ubunge Charles Mwijage
Mwijage akihutubia wananchi katika viwanja vya Kamachumu
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera akionekana kufurahia jambo na kutoa ishara ya kumpongeza Charles Mwijage wakati akinadi sera za chama chake kwa wananchi





0 comments:
Post a Comment