Slaa ni turufu kubwa kwa kambi ya upinzani, kama upinzani utakubali kuingia kwenye ulingo wa siasa kwenye uchaguzi mkuu bila slaa, itawatikisa sana ukawa, credibility ya Slaa kwenye siasa za Tanzania si ya kubeza, ukiwatathmini ccm walimchagua magufuli kwa kizingatia credibility ya magufuli na si populality yake, kwa kambi ya upinzani slaa ana credibility na populality Kubwa,namtazama slaa kama mtu muhimu sana kwenye siasa za Tanzania, kama navyomtazama magufuli kama turufu chanya kwa rebranding ya credibility ya ccm! Nawaza tu, where is slaa? Atasema nini akitokea hadharani? Je atakuja na mshindo mpya wa habari? Tusubiri tuone
Saturday, August 1, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment