Friday, August 7, 2015

Nimeambiwa leo Rais na Magufuli watakuwa na dinner na kundi la vijana wasanii. Wasanii hawahitaji dinner, wanahitaji hakimiliki ziboreshwe

Dinner ya kweli kwa hawa vijana ni hakimiliki kwa kazi zao, si dinner ya namna hii. Huu ni ulaghai. Wasanii amkeni

2 comments:

  1. Kama unaweza ku comment kwenye ukurasa wa Lowassa mwambie anacheza ngoma isiyo na b mdundovwala muziki. Aje na mpya au hoja za nguvu, mambo ya kukosoa CCM yanatuonyesha unafiki wake, maana ni jana tu alikuwa huko na kwanini hakuyasema hayo?
    pili anasemaje juu ya watu wakubwa walioviabzisha vyama vya CUF na Chadema wanaviacha vyama vyao walivyovihangaikia hata kuponza usalama wao na familia zao? Kwanini wanapinga yeye kuingia ukawa, that's what we are waiting to hear from him, usituletee hsbari za CCM, ni kama una uchungu nao.
    Acha siasa xa kitoto, komaa ndio maana wenzio walikukata na kwa gea hii hupati kura yangu. Toa hoja zitazotufanya tukukubali
    komaa kisiasa

    ReplyDelete