Tuesday, August 25, 2015

Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa kwenye Utawala Bora (Good Governance) na Utawala wa Sheria (Rule of Law).

¤MAGUFULI: "Nikiwa rais, nitaanzisha mahakama ya mafisadi ili kesi zao zishughulikiwe haraka."

¤LOWASSA: "Nikiwa rais nitamtoa gerezani Babu Seya. Nikiwa rais nitawaachia huru watuhumiwa wa ugaidi wa kundi la UAMSHO la Zanzibar."


  • Ally Hamoud Lowasa Number One
  • Maria B Malongo Bora Makufuli
  • Rukia Gamba Magufuli no 1
  • Erick Mwombeki Sina uhakika kama mtoa post ni Le Mutuz Nation?
  • Ally Hamoud Lowasa wafungwa wengi wako ndani kiubabe tu
  • Ally Hamoud Inabidi watokee
  • George Mwanansoga John Magufuli ndio raisi wa tano.
  • Jesca Musiba magufuri ndo yuko sahihi
  • Maryam Abdallah Magufuli habari ya mujini watajua sasa
  • Shanti Islam Magufuriiiiiii
  • Laisha Mohamed Mpaka sasa anaelekea kuwasaidia Mama lishe kupika lkn 2late magufuli ni kilà kitu



    0 comments:

    Post a Comment