Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa wakati watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliposimamisha daladala eneo la Jangwani na kuingia ndani kupora mkoba unaosadikiwa kuwa na fedha.Askari na wasamaria wema wakiwa wamebeba mwili wa abiria aliyepigwa risasi na majambazi akiwa ndani ya daladala eneo la Jangwani, Dar es Salaam jana. Daladala hilo lilikuwa likitoka Kariakoo likielekea Ubungo Mawasiliano..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment