
Lipumba anasema UKAWA ilianzishwa kwa
lengo la kusimamia rasimu ya katiba mpya kutokana na maoni ya wananchi
sasa wenzetu wamegeuza UKAWA kwa kuleta mtu ambaye alishiriki kupitisha
katiba pendekezwa ambayo siyo maoni ya wananchi hivyo kiongozi
atakayeshinda kupitia UKAWA hawezi kusimamia maoni ya wananchi ya rasimu iliyopendekezwa na Warioba.
TAARIFA ZAIDI TUTAWATEA
0 comments:
Post a Comment