Monday, August 31, 2015

 WATANZANIA watatu ni miongoni mwa waalikwa wa sherehe za kutimiza miaka 250 ya mafanikio ya kuanzishwa kwa kinywaji maarufu kutoka Ufaransa, Hennessy, sherehe ambayo iliyofanyika Johannesburg, Afrika Kusini hivi karibuni.
Miongoni mwa washiriki hao ambao pia walijumuika katika kuonja kinywaji hicho ni pamoja na; DeogratiusKithamawa East Africa Televisheni, Idris Sultan ambayenimshindimkuuwaonesho la Big Brother Africa 2014 naMpigapicha, pamojana Tanya Mulamula wa kampuni yaStudiored Public Relations ambao walialikwa kuwa sehemu ya uzoefu huo.






Watatu hao walipanda pipa moja kwa moja hadi Johannesburg ambalo ni jiji lililoteuliwa kama moja ya majiji matano pekee duniani kuwa mwenyeji wa Hennessy 250 Tour, ambalo ni onesho la sanaa katika kusherehekea kumbukumbu ya miaka 250 ya kinywaji cha Premium Cognac mwaka huu.
Sherehe hiyo ilichota wageni maarufu ikiwa ni pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Hennessy, Bw. Bernard Peillon; Balozi wa Dunia wa Hennessy, Maurice Richard Hennessy; mwigizaji na mwimbaji Nandi Mngoma; mwigizaji Nomzamo Mbatha, Maps Maponyane; mshindi wa BBA 2014 Idris Sultani; mnyange na aliyekuwa Miss Afrika Kusini, Vanessa Carreira; mwinbaji na mtunzi wa wa ki-Nigeria, 2Face; DJ wa muziki wa Hip Hop na mfanyabiashara, T-Bo Touch; mtangazaji wa televisheni, Lorna Maseko-Lukhele, pamoja na mtunzajimwenza wa tukio hilo na mtaalam wa kumbukumbu za Hennessy,  Raphaël Gérard.
Aidha, wageni walialikwa kupata uzoefu wa Hennessy 250 Tour, sambamba na chakula cha jioni na uwasilishaji wa kinywaji cha Hennessy 250 Collector Blend hasa iliyozalishwa na Hennessy Master Blender na Taster Yann Fillioux kwa ajili ya sherehe hiyo kubwa.
Ikijengwa kwa kampeni ya kisanii ya Hennessy Artristry iliyozinduliwa mwaka 2014, ziara ya Afrika ya Hennessy 250 Tour inalenga kuwatangaza duniani baadhi ya wasanii wenye vipaji wa Afrika, kuchanganya mchanganyiko wa sauti kamilifu, uvumbuzi kuona, na kupata uzoefu wa kipekee, kuzungumzia hasa sanaa mchanganyiko ya Hennessy.
MwenyekitinaAfisaMtendajiMkuuwakampuniya Hennessy, Bernard Peillon, aliwezakufikakituo cha nneziaraya Hennessy 250 Tour dunianikotenakufanyakwelikatikajumbazuri la sanaa la Circa Gallery huko Johannesburg, AfrikaKusini.



Hennessy, ambayonibidhaamaarufuyaKifaransanainayouzikasanaduniani, inasherehekeakutimizamiaka 250 hukuikiwaimetengeneza  chupachacheza Hennessy 250 Collector Blend – ambayoimetengenezwakwauangalifumkubwasambambanakufanyiwautafitikwamiaka 4 kablayakuingiasokoni.
Kinywaji cha Hennessy kimerudi mwaka huu kwa ziara iliyopewa jina la  Hennessy 250 Tour; onesho la kusafiri la kisanaa ambalo litawezesha kutembelea majiji matano makubwa duniani  kwa ajili ya kusherehekea miaka 250 ya ukuu usio na makosa, sanaa mchanganyiko na urithi wake.

Ziara hiyo imefanyika kwenye maeneo manne maarufu duniani mwaka huu, ikiwemo miji ya; Guangzhou, Moscow, na New York, onesho hilo lilitua katika jumba la sanaa lijulikamalo kama Circa Gallery katika Jiji la Johannesburg  Agosti 21, 2015 huku fainali ikifanyika Jijini Paris, Ufaransa.Mmoja kati ya waalikwa wa ziara hiyo, Tanya, amewataka watanzania kujiandaa kwa ajili ya Matukio ya Hennessy ambayo yatafanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. 

0 comments:

Post a Comment