Hussein Bashe
KADA
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa
Hussein Bashe amewaambia wanachama wenzake kukaza buti kwani uchaguzi wa
mwaka huu ni mgumu.
Bashe alisema hayo wakati akiongea na wanachama wenzake na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho wilayani Nzega.
Alisema
wanaCCM wanatakiwa kutambua kuwa uchaguzi wa mwaka 1995,2000,2005,2010
na huu 2015 kuna tofauti kubwa hivyo wanatakiwa kujipanga.

0 comments:
Post a Comment