Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper.
STAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita kufuatia kambi yake ya kisiasa ya Edward Lowassa ‘Timu Lowassa’ kukatwa jina kwenye kinyang’anyiro cha urais mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akisema yeye na Lowassa ni mpaka kifo, Amani limeinyaka.
0 comments:
Post a Comment