Sunday, August 23, 2015

CCM YAPOTEZA MGOMBEA MERU!
Hawa ni watu wawili tofauti. Aliyeteuliwa na tume ya uchaguzi, na aliyeteuliwa na Chama siye aliyetoa tamko la Kisheria Mbele ya mahakama na kupigwa mihuri ya mahakama, hakimu na kutiwa sahihi na Hakimu.
KIUHALISIA, AMEPOTEZA SIFA ZA KUWA MGOMBEA.
Unatakaje Kuwa Mbunge Kama hata umakini mdogo Namna hii unakushinda??-Josh Nassari
Tamko la kisheria

0 comments:

Post a Comment