Siku
izi kumeibuka mtindo wa kuvaa mavazi yanayoonyesha Nusu ya Mwili wa
mwanamke... si hivyo tu wanawake na wasichana wengi wamekuwa wakitupia
picha zao mtandaoni wakia na mavazi hayo kitendo ambacho ni kibaya
zaidi. Sasa kama
mwanaume mwenye akili kabisa unaweza ukamruhuzu mke wako au mchuba wako kuvaa mavazi haya na akapita mbele ya kundi la watu?? au ndo Fashion ya siku hizi!!
mwanaume mwenye akili kabisa unaweza ukamruhuzu mke wako au mchuba wako kuvaa mavazi haya na akapita mbele ya kundi la watu?? au ndo Fashion ya siku hizi!!

0 comments:
Post a Comment