Thursday, August 27, 2015



KAULI ZA BABA WA TAIFA ZINAZOMNYIMA USINGIZI LOWASSA


Hizi ni nukuu 6 za mwaka 1995, mwaka ambao Lowassa alikatwa na Mwalimu Nyerere

Mtu anayetaka kwenda Ikulu kwa kutumia pesa ni wa kuogopa kama ukoma

Ikulu ni mahali patakatifu. Ikulu sio pango la walanguzi

Kama mtu anakwenda Ikulu kwa hela za marafiki zake, atazilipaje akishakuwa Ikulu?

Ikulu mimi napajua. Nimeshakaa miaka 23. Kwa mtu mwadilifu, Ikulu ni mzigo. Si mahali pa kukimbilia hata kidogo.

Bila CCM imara, nchi itayumba.

Pamoja na changamoto zilizopo, kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM

0 comments:

Post a Comment