Monday, August 17, 2015

Oooohoo ukivaa nguo dar es salaam za CCM unazomewa Mwanaume nikasema NAVAA na natembea mitaaa yote eehe bwana eheee kila nikipita akina dada CCM OYEEE....washikaji wivu wanajua kimeta ntaongeza wife DUME NA NGUO ZA CCM LIPO MLIMAN CITY SASA .... Wadada wanakipenda chama hiki jaman....
Sasa nimegundua nikiwa dar tuu ni mwendo wa NGUO ZA CCM Nisamehe wife.....
Like
   Comment   

0 comments:

Post a Comment