Posted by Williammalecela.com on Sunday, August 16, 2015

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI:- Now FACT is Picha ya kushoto ni CCM na Kulia ni Muungano wa vyama Vingi vya UKAWA against Chama Kimoja tu CCM..the FACT is Lowasa ndani ya CCM alipata wadhamini 800,700 lakini toka aingie UKAWA waliotoka kumfuata hawazidi 2,000...another FACT ni kwamba Lowasa alisindikizwa na Wenyeviti wa CCM Mikoa 15 kwenye kurudisha Fomu yake ya CCM mpaka leo waliomfuata UKAWA hawazidi 4....another FACT Meneja Mkuu wa kampeni za Lowasa CCM alikuwa Bashe mpaka leo amegoma kabisa kumfuata Boss wake UKAWA... another FACT Wabunge 150 wa CCM walikuwa wanamuunga mkono Lowasa akiwa CCM mpaka leo hakuna Mbunge
aliyeshinda Kura za maoni CCM aliyemfuata Lowasa amefuatwa na wasiozidi 10 na wote wameshindwa kura za Maoni kwanza ndio wamemfuata hahahahaha...another FACT ni kwamba Dr. Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa waliomtetea sana Lowasa Kamati Kuu kwenye mchujo wa Urais wameapa kwamba hawatakuja kumfuata Lowasa huko UKAWA....INFACT the FACT is jana Dr. Nchimbi kwenye kikao cha Baraza Kuu la UVCCM alisema "Watuwazima mkisha kaa kwenye kikao na kukubaliana kama tulivyofanya Dodoma kwenye kuchagua mgombea, halafu wewe ukatoka hapo ukaenda kinyume na makubaliano hufai kuwa Kiongozi wa Taifa ni Msaliti"....FACT Lowasa amejitoa CCM kwa sababu at his age and time hakuwa na alternative ya kusubiri Miaka 5 ya uchaguzi tena NOW WEWE KIJANA UNAYEMKIMBILIA KUMFUATA LOWASA UKAWA unajua unajifungia opportunities mwenyewe cause unachokifanya ni "Point of no return" I mean yaani unaaamini Bashe Manager wa Lowasa hana akili wewe unazo zaidi? THINK.ABOUT IT TAFAKARI KABLA HUJARUKIA TRENI KWA MBELE! jamani I was just thinking aloud! Hahaha kama una tatizo jibu na FACTS PLEASE! ONLY FACTS HERE BABY!....WINGI WA MBUZI HAUMKIMBIZI SIMBA U KNOW - le Mutuz
ur givng the factz that are alwayz there!!!
ReplyDeletehapan jipya hapo!!!
Somehow true ila...Narudi shortly
ReplyDeleteLe mutuz,ur absolutely right about the facts and figures..ambacho hukijui ni kwamba,there is more to it that your eyes can see.....hivi wewe,how do u expect all of them kumfuata?? Atajuaje siri na mbinu za mpinzani wake?? Wake up bro...the guy is very strategic and hao waliobaki ndo wataimaliza from within...na hadi bungeni utashangaa ghafla wanaungana na upinzani(assuming ccm watashinda) kupiga chini miswaada yote and kupitisha miswaada inaowafaa.....watch that space brother...
ReplyDelete