Thursday, August 20, 2015

Morning Guys ukitaka kusaidia maarifa Kijana mdogo asiyejitambua ni kumuonyesha Njia uliyopitia wewe mwenyewe like me nilirudi Bongo mwishoni mwa Mwaka 2011 after 30 years Majuu I was mgeni ninakumbuka kupita mjini Posta nimepigwa na mshangao na hakuna mtu hata mmoja anayenijua...siku moja nilienda GMO Samora Avenue nikanunua LAPTOP kwa USD $ 500 hii ilikuwa ni mwanzoni mwa 2012 nikafungua "Blogu ya Wananchi" nikiwa na Viewers 100 from there on nikaanza kupiga kazi almost Masaa 18 behind the LAPTOP I was once a Seamen so mpaka leo bado nina ile lugha ya Baharini nikaanza kui inject in my writtings like "Le Mbebezz" "Super Mutindiz"...now kama kawaida
nikaanza kuhisi kuwa ninaanza kuwa na Impact cause nikaanza kushambuliwa na some Mburulazz kuna mtumzima mmoja aliyefunga safari mpaka Dodoma kwa Baba yangu mzazi kunishitaki kuwa ninafanya mambo ya kitoto kwenye Social Media I never listened wala hata kubabaika I just stick to my game plan by mwanzo wa Mwaka 2013 matangazo ya biashara yakaanza kumiminika left and right...tayari nilikuwa na Viewers 40,000 kwa siku na tayari almost kila mtu hapa mjini alishanijua so nikaisajili Blog na kuwa "Blogu ya Wananchi Media Company LTD" nikaajiri Vijana 5 wafanyakazi wa Blog na nikafanikiwa kupata Ofisi ya kampuni hapa Downtown Posta Mpya na mpaka nikafanikiwa kupata 3bedrooms ninapoishi hapa Downtown na in this process Blogu ikanifungulia Milango ya kukutana na Matajiri wengi niliokuwa siwajui kabisa akiwemo Davis Mosha and Chicago Matelefone....nikawashawishi sana wanisaidie kuwa wabia Chicago akakubali tukaingia kwenye ICD Project Bandarini na Davis akakubali tukaingia kwenye African Swahili Radio & TV ambayo in the next 2 Months tutaanza kuwa Hewani.now yote haya ni kwa sababu moja tu nayo ni Blogu niliyoanzisha kwa kununua LAPTOP at GMO kwa USD $ 500 Mwaka 2012...Sikuwahi kusomea Social Media zaidi ya kujifunza kwenye maktaba za New York nilikokuwa natumia muda mwingi sana nikiwa kule kujisomea guys chagua business unayoijua weka nguvu zako zote na akili yako yote itakulipa tu cause mimi inanilipa now! I hope nimemsaidia kijana mmoja tu KUJIAMINI! ASUBUHI NJEMAZZ! - le Mutuz

4 comments:

  1. MUNGU AKUSIMAMIE, AKUONGOZE KATIKA KILA LA HERI NA AKUONDOLEE SHARI NA MABALAA YOTE YA DUNIA NA MAJINI NA WATU. MUNGU AKUFUNGULIE NDOTO ZAKO, APOKEE DUA ZAKO NA AKUKUBALIE SALA ZAKO.

    ReplyDelete
  2. yeah ni kweli aiseee umenisaidia kaka

    ReplyDelete
  3. DAMN! 30 years majuu unarudi bila laptop? Kweli we ni lemutuz

    ReplyDelete