LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- - Well, ni muhimu sana CCM ikawa makini sana kwani tunataka Uchaguzi FAIR na wa HAKI my point is yoyote yule aliyejaribu kuwazuia UKAWA wasitumie Uwanja wa Jangwani Jumamosi alikosea sana sana hata kama Uwanja ulikuwa umekodishwa hakuna kitu muhimu wakati huu kama kuhakikisha Demokrasia ya Taifa inafanyika inavyotakiwa na mengine yote kusubiri
kwanza...ndugu zangu CCM huu ni wakati wa Vita vya Uchaguzi wenzetu upande wa pili wana mkono mzito sana kwenye Media I mean Magazeti na TV ila wameshindwa kwenye Social Media so kwa mfano wanachofanya wao ni kuhakikisha wanashikilia Headlines za Main Stream Media leo badala ya Mafurikoz ya Magufuli Tunduma wao watabeba habari za UKAWA kusumbuliwa kupata Uwanja wa Jangwani haiko sawa na Serikali.ni yetu CCM so ni sawa kusema Propaganda ya tulitaka kuwanyima Uwanja...it is about time Kampeni ya CCM na Magufuli mkaunda kamati ya kuhakikisha makosa kama haya hayarudiwi tena na wala sio siri kitendo hicho cha jana kitawaongezea watu wa kuja Jangwani kwenye kampeni kosa sio kufanya kosa ila kurudia kosa...tunataka a clean kampeni tunataka kushinda kihalali inawezekana na dalili zipo wazi kabisa hatuhitaji ujanja ujanja ushindi upo wazi kabisa ila tunapigana na watu wachache wajanja wazoefu na wana pesa ambazo wanajua namna ya kuzitumia kupata matokeo tumeshawashinda Majimbo 8 ya Ubunge tayari But tuweke Demokrasia ya Tanzania kwanza! - le Mutuz

Big up Lemutuz. Hekima inatakiwa
ReplyDelete