Shehena ya madawa ya kilevya yakiwa yamefungashwa sehemu ya nyuma ya mwili wa mwanamke na kuwachanganya maaskari wakizani ni shepu ya le mbebez huyo.Maarufu kama punda wa madawa ya kulevya wamekuwa wakivumbua njia mbalimbali kupenyeza biashara hiyo haramu.
0 comments:
Post a Comment