Monday, August 24, 2015

Morning Guys Wabongo tuna tatizo moja kubwa sana HATUJUI KUPENDA KWA KIASI au KUCHUKIA KWA KIASI tunapenda sana kupita kiasi so tunachukia sana kupita kiasi matokeo yake ni kukataa UKWELI kwa sababu ya kupenda na kuchukia kuliko inavyotakiwa...guys zinazoendelea sasa hivi ni just Politics zisitufikishe mahali zikatutenganisha na kutukorofisha hii jamii tunahitaji kubadilika na kusoma FACTS za tunacho kipenda na tusichokipenda kabla ya kupiga piga kelele na
kurushiana chuki TAFAKARI je Chama au Kiongozi unayempenda ana nafasi ya KUSHINDA? ..kwa mfano simple FACTS & MATHEMATICS CCM chama kimoja tu cha Siasa Tanzania kwa hesabu za sasa kina Wanachama HAI MILLIONI 7 ukichanganya vyama vyote vya UKAWA wana wanachama MILLIONI 2 1/2 ok mwaka huu CCM imehakikisha Wanachama wake wote wamejiandikisha now maana yake ni kwamba leo ikiamuliwa wanachama tu wa Vyama vya siasa Tanzania ndio watakaoruhusiwa kupiga kura ni nani atakuwa Mshindi? = CCM ....ok hakuna Mwanachama atakayeenda kupiga kura bila kumshawishi angalau ndugu au rafiki mmoja tu ok wanachama Millioni 7 wa CCM utapata Millioni 14 na UKAWA utapata Millioni 5 mshindi = CCM....guys huu ni Uchaguzi wa NUMBERS sio ushabiki wala Makelele, kujaza watu kwenye Majukwaa means nothing swali ni Wanachama wangapi na Waliojiandikisha kupiga kura ni Wangapi? Kama kweli unakipenda Chama chako jikite kujua kina Wanachama HAI wangapi na ufanye sample mwenyewe waliojiandikisha ni wangapi..guys .wabongo ni wamoja tusidanganywe na Politicians tafuta FACTS tafuta NUMBERS! JAMANI ASUBUHI! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment