Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 26, 2015
Ninasema siku zote na ninarudia tena kwamba hakuna tatizo ninaloliogopa in my life kama Ku deal na mtu MJINGA au MBURULAZZZ cause tatizo lake ni anazo akili ila anazuiwa na Shetani kuwa na uwezo Mkubwa wa kufikiri na kuelewa UJINGA sio Kipaji kama UPUMBAVU ambao ni KILEMA yaani hata Binadam apigane vipi hawezi kuondokana na UPUMBAVU ila anaweza kupigana akaondokana na UJINGA sasa ndio maana ninachukizwa sana na MTU anapoamua kuwa MJINGA..ok unapokuwa MJINGA ni lazima ujielewe kuwa ni MJINGA kwa sababu dalili ya kwanza kuwa ni MJINGA ni the people you attract lazima wawe wajinga wajinga kama wewe ujue ni MJINGA now if you know that please unapofika mbele ya watu usiowajua vizuri NYAMAZA KWANZA upime kama ni size ya AKILI YAKO kwanza...kwenye huu uchaguzi kuna watu wanaojaribu kuongelea a
REVOLUTION kwamba Chama Flani wana represent REVOLUTION now nenda usome all Revolutions of the past the FACT ni kwamba it was done by the CLEAN SOLDIERS OF REVOLUTION Samuel Doe, Joseph Mobutu, Hussein Nimeiry, Mengitsu, Samora, Mandela, Museveni, Ghaddaffi, Fidel Castro, Hitler, Mao Tse Tung Hawa were Clean Soldiers ingawa walikuja kuwa Corrupted in Power later lakini at their Origin walikuwa Clean hawakuwa Viongozi wenye tuhuma mbali mbali chafu katika Jamiii zao na infact walikuwa Masikini ambao wananchi Could identify themselves in them...sasa please waangalie Viongozi wako unaowapigania kwenye huu Uchaguzi ujiridhiishe kwamba kweli they are CLEAN hakuna Mkamilifu lakini at least they are almost CLEAN...Hakuna Mungu anayeweza Ku support watu wasokuwa wasafi kufanikiwa kufanya REVOLUTION ya kuwasaidia wananchi wake wasafi NO WAY na it never happened na haijawahi kutokea na wala haitakuja Kutokea... kama hujui REVOLUTION ilianzishwa na Mungu kwa kumtumia a Clean Moses kuwaokoa wana wa Israel utumwani Egypt na Moses akafika mahali akashindwa kutii amri ya Mungu ya kuongoza THE FIRST REVOLUTION ever akaondolewa na Mungu akamuweka JOSHUA..since than Sheria ni ile ile huwezi kuwa Corrupt ukaongoza REVOLUTION najua naongea na Vichwa vigumu kuelewa lakini ninajua kuna MTU mmoja tu nitakayemgusa na akabadiika na huu waraka wangu God love that! - le Mutuz
0 comments:
Post a Comment