Posted by Williammalecela.com on Saturday, August 01, 2015
Linah Sanga amezindua rasmi nyimbo yake mpya no stress akionesha tukio lililo mtokea la kuporwa bwana na Wema Sepetu sio tress tena kwake.Ingawa amekiri swala hilo lilimkondesha na kukwamisha mambo yake.Penzi jipya la boss mtoto kaka wa Zari limemfanya awe no stress.
0 comments:
Post a Comment